Friday, September 4, 2009

The Director

Nkiru Silvanus aliyecheza kama msanii wa filamu katika moja ya scene za filamu ya The Director, akipewa huduma ya kwanza (First Aid) baada ya kuanguka na kuumia wakati alipokuwa anajaribu kuchukua mazoezi ya shooting nyumbani kwa Steven Kanumba (Director).



Mercy Jonson na Steven Kanumba katika moja ya scene za filamu ya The Director waliyocheza kama mke na mme. Mercy Jonson anamuuliza Kanumba aliyecheza kama Director kuhusu uhusiano wake wa kimapenzi na msanii Nkiru Silvanus (Lisa).

Nkiru Silvanus katika moja ya scene za filamu ya The Director akifurahia simu aliyopigiwa na Kanumba ambaye ni Director wake huku baba yake Bw. Emmanuel France (Mr. Jonson) akimsikiliza kwa umakini.

Femi Ogedebe akiwa na Steven Kanumba wakipanga bajeti katika moja ya scene za filamu ya The Director.

Baadhi ya wanakijiji wakiwaangalia wamasai wakiruka na kucheza katika baadhi ya scene za filamu ya The Director.

Baadhi ya wasanii wakicheza ngoma za asili katika moja ya scene za filamu ya The Director.


Mr Emmanuel France na Suzan Lewis katika moja ya scene za filamu ya The Director waliyocheza kama mke na mume.

2 comments:

  1. hii filam vp mzee ishatoka ama ndio iko jikoni?
    hongera kwa burudani zako kali

    ReplyDelete