
A. Aunty Ezekiel (Bethel) anampa kikapu cha mboga dada yake Neshi Adam (Batuli) ili aende akapike katika moja ya scene ya filamu ya
Fake Smile.

A. Steven Kanumba (Jonson) na Richard Oyle Bezuidenhout (Dikson) katika moja ya scene za filamu ya
Fake Smile, Kanumba anamwambia Richard waachane na mpenzi wake Neshi Adam (Batuli)

Tania na Richard Oyle Bezuidenhout (Dickson) waliocheza kama mtu na mpenzi wake katika moja ya scene za filamu ya
Fake Smile, Tania akifurahia pesa alizoingia nazo Richard Oyle Bezuidenhout (Dickson) baada ya kupewa na Neshi Adam (Batuli) ambaye pia ni mpenzi wa Richard (Dickson)

Richard Oyle Bezuidenhout (Dickson) anamuomba msamaha Neshi Adam (Batuli) kwa kumgonga na baiskeli na kumuangushia vitabu vyake katika moja ya
scene za filamu ya
Fake Smile
Neshi Adam (Batuli) anampatia funguo za gari yake Richard Oyle Bezuidenhout(Dickson) waliocheza kama mtu na mpenzi wake katika moja ya
scene za filamu ya
Fake Smile
A. Claudi (Kibosile) katika moja ya
scene za
Fake Smile anampa
Aunty Fifii hela ili aweze kuondoka na Neshi Adam (Batuli) kwenda kufanya nae mapenzi.

A. Katika moja ya scene za filamu ya
Fake Smile, Hamisi Abdallah (Muba) kamleta Neshi Adam (Batuli) kwa Aunty Fifii ili afanye kazi.

Neshi Adam (Batuli) anambembeleza mama yake baada ya baba yake Aunty Ezekiel (Bethel) kumtolea maneno ya kashfa katika moja ya scene za filamu ya
Fake Smile
Neshi Adam (Batuli) anafurahia kwa kitendo cha mdogo wake Aunty Ezekiel (Bethel) kurudi nyumbani katika moja ya scene ya filamu ya
Fake Smile
Steven Kanumba (Jonson) anamwambia Richard Oyle Bezuidenhout (Dickson) aeleze ukweli kuhusu uhusiano wake yeye na Neshi Adam (Batuli) katika moja ya scene ya filamu ya
Fake Smile.

Aunty Ezekiel (Bethel) akimkebehi dada yake Neshi Adam (Batuli) waliocheza kama mtu na dada yake katika moja ya scene ya filamu ya
Fake Smile Back Home