Stella Bactazary aliyecheza kama Dada yake Jacqueline Wolper (Victoria) katika moja ya scene ya filamu ya Red Valentine. Stella Bactazary anamsema Jacqueline Wolper (Victoria) kwa kuzaa mtoto wa kizungu na kutia aibu familia.
Wema Sepetu na Steven Kanumba waliyocheza kama mke na mme katika moja ya scene ya Red Valentine
Wema Sepetu na Steven Kanumba waliyocheza kama mke na mme katika moja ya scene ya Red Valentine
A. Steven Kanumba (Nicholaus) na Jacqueline Wolper (Victoria) waliocheza kama mtu na mpenzi wake katika moja ya scene ya filamu ya Red Valentine
Wema Sepetu (Vivian) anamuomba Steven Kanumba (Nicholaus) wakae waongee ili wayamalize na waweze kupatana katika baadhi ya scene ya filamu ya Red Valentine.
Baadhi ya scene ya filamu ya Red Valentine anaonekana Steven Kanumba (Nicholaus) anarudi nyumbani baada ya siku tatu, Wema Sepetu (Vivian) anamuuliza alikokuwa.
A. Wema Sepetu (Vivian) akimshukuru Mungu baada ya kuambiwa ni mjamzito katika moja ya scene ya filamu ya Red Valentine
steve this movie is wonderful,ur truly an actor congrats to every one who is featured in dis movie esp nick & vivian,we luv u in kenya.
ReplyDeletekwanini usiweke picha za magic house bwana some times un boaaaaaaa but your good
ReplyDeletekanumba upo juuuuuuu sana but have u ever seen ua twin name dennis (THE SPECIAL)Aya ya yaaah he iz hatari baba kama unataka mtazame katika KIAPO CHANGU then utajua jamaa iz dngr
ReplyDeletenick from dom