Saturday, October 3, 2009

Unfortunate Love

Beatrice (Zamda) na Neema (Jacqueline Kisaka) waliocheza kama mtu na rafiki yake wakiwa katika maeneo ya chuo wakionyeshana baadhi ya masomo katika moja ya scene za filamu ya Unfortunate Love
Neema (Jacqueline Kisaka) akimwambia jambo fulani Beatrice (Zamda) kuhusu Kanumba (James)
Kanumba (James) akiwa darasani akipiga kinanda chake
.

Kanumba (James) akiwa darasani akipiga kinanda chake
Wanafunzi wenziwe wakimchungulia Kanumba (James) alipokuwa anapiga kinanda

Baadhi ya wanafunzi wa chuo katika moja ya scene za filamu ya Unfortunate Love
Beatrice (Zamda) na Neema (Jacqueline Kisaka) wakiwa maeneo ya chuo wakizungumza kitu fulani.





3 comments:

  1. nzuri lisa simuoni

    ReplyDelete
  2. mimi nina kaa uk mjini manchester vipi ninaweza kupata movies kutoka kwenu na hapa nilipo wateja ni wengi mno tafazali tufanyieni sululisho

    ReplyDelete
  3. fantastic movie,hongera sana

    ReplyDelete